1 Samuel 18:1-3

Sauli Amwonea Daudi Wivu

1 aBaada ya Daudi kumaliza kuongea na Sauli, roho ya Yonathani ikaambatana na roho ya Daudi, naye akampenda kama nafsi yake mwenyewe. 2 bKuanzia siku ile Sauli akamchukua Daudi naye hakumruhusu kurudi nyumbani kwa baba yake. 3 cYonathani akafanya agano na Daudi kwa sababu alimpenda kama nafsi yake mwenyewe.
Copyright information for SwhKC